0
(0)
R.I.P Mangwea
Song – CNN
Artist – Mangwea Ft. Fid Q
#fidq #diamondplatnumz #music
CNN is the world leader in news and information and seeks to inform, engage and empower the world…brought to you by SLOPPBOXX.COM.
How useful was this post?
Click on a star to rate it!
We are sorry that this post was not useful for you!
Let us improve this post!
Tell us how we can improve this post?

















































2026🎉
G.O.T
2026 ndo natazama yani hata kama ingetoka mwaka huu bado ni moto sana
Oy ni Balaaa huu moto ni hazar nyingine aiseeeee
2026.6.6.
Oyaaa hii ni 2026 bado mojaa ya nyimbo Kali kuliko za mwakaa huu😂😂
Hawa wasukuma wawili Ngwea na Fid q ni watu na nusu.
Iyo verse ya ngwea unaweza ombea mkopo crdb
Leo miaka 30 ya bongo fleva imenirudisha huku tarehe 10/07/2026 RIP Ngwair
2026
Ngwea yuko full package
2026 july r i p ngwear Goat
ebn ngwea unaweza muona wa kawaida kwa sasa ila huyu mwamba alikuw balaaa…anatisha km mzinga wa nyuki hasa Enzi zake…alikuwa na Balaa muone ivoivo ni mbaya wew alitisha sana
2026
Unyama sana